Joanisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Mt. Joanisi Mkuu.
Mji wa Bursa kutoka Mlima Uludag, alipoishi miaka mingi na unaoitwa hadi leo "Mlima wa Wamonaki".

Joanisi (pia: Joanisi Mkuu, kwa Kigiriki: Όσιος Ιωαννίκιος ο Μέγας; Bitinia, 754/762 hivi[1] - Antidium, 3 Novemba 846) alikuwa mmonaki, na hasa mkaapweke, maarufu kwa miujiza[2], katika maeneo ya Uturuki ya leo. Alisaidia kurudisha heshima kwa picha takatifu baada ya dhuluma ya serikali ya Dola la Roma Mashariki[3].

Kabla ya kutawa alikuwa askari kwa miaka 20[4][5] .

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu[6].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 3 Novemba[7] au 4 Novemba [8][9].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://db.degruyter.com/view/PMBZ/PMBZ14532
  2. Butler, Rev. Alban (2010). The Lives of the Saints. New York: Bartelby. 
  3. Venerable Joannicius the Great.
  4. Treadgold, Warren (January 2002). "Photius Before His Patriarchate". Journal of Ecclesiastical History 53.
  5. Cyril Mango, "The Two Lives of St Ioannikios and the Bulgarians", Harvard Ukrainian Studies VII (1983) (Okeanos: Essays presented to Ihor Swevcenko),393-404, esp. pp.396-400
  6. http://www.santiebeati.it/nomi/Detailed/76060.html
  7. Martyrologium Romanum
  8. Συναξαριστής. 4 Νοεμβρίου. ECCLESIA.GR. (H ΕΚΚΛΗΣΙΑ ΤΗΣ ΕΛΛΑΔΟΣ).
  9. Ὁ Ὅσιος Ἰωαννίκιος ὁ Μέγας ὁ ἐν Ὀλύμπῳ. 4 Νοεμβρίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.