Nestori wa Magido
Mandhari
Nestori wa Magido (alifariki Perge katika Pamfilia, leo nchini Uturuki, 251) alikuwa askofu wa mji huo[1] ambaye, wakati wa dhuluma ya kaisari Decius wa Dola la Roma, aliuawa kwa kusulubiwa kutokana na imani yake kwa Yesu aliyetufilia msalabani [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yao ni tarehe 25 Februari[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Lives of the Saints by Omer Englebert, 1951 and Barnes & Noble Books, 1994
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/42800
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Index of Roman Catholic Saints
- St. Nestor
- Hieromartyr Nestor the Bishop of Magydos in Pamphylia Orthodox icon and synaxarion
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |