Pamfilia
Mandhari



Pamfilia (kwa Kigiriki: Παμφυλία, Pamphylía [1] kwa maana ya mchanganyiko wa watu [2]) lilikuwa eneo kusini mwa Asia Ndogo, katikati ya Lycia na Kilikia. Kaskazini kulikuwa na Pisidia, ambayo chini ya Warumi ilihesabiwa kama sehemu ya Pamfilia kutokana na wakazi kuwa na asili moja.
Eneo hilo la rasi ya Anatolia (leo nchini Uturuki) lilikuwa kati ya bahari ya Mediteranea na Milima ya Taurus kama mkoa wa Antalya leo.
Ni kati ya maeneo yaliyojinjilishwa na Mtume Paulo pamoja na Barnaba.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Livius.org: Pamphylia Ilihifadhiwa 29 Desemba 2012 kwenye Wayback Machine.
- Asia Minor Coins: Pamphylia Ilihifadhiwa 12 Julai 2019 kwenye Wayback Machine. ancient Greek and Roman coins from Pamphylia
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pamfilia kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |