Perge
Mandhari
(Elekezwa kutoka Perga)
Perge (kwa Kigiriki: Πέργη, Perge, kwa Kituruki: Perge) ulikuwa mji wa Wagiriki wa Kale katika rasi ya Anatolia,[1] uliowahi kuwa makao makuu ya Pamphylia Secunda, sasa katika wilaya ya Antalya, kusini-magharibi mwa pwani ya Mediteranea ya Uturuki.
Kwa sasa ni maghofu tu yanayopatikana km 15 mashariki kwa Antalya. Baadhi ni ya Zama za Shaba.[2]
Mwaka 46 Mtume Paulo na Barnaba walifika mara mbili kuinjilisha huko (Mdo 13:13-14 na 14:25).
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hannah M. Cotton; Robert G. Hoyland; Jonathan J. Price; David J. Wasserstein (3 Septemba 2009). From Hellenism to Islam: Cultural and Linguistic Change in the Roman Near East. Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-87581-3.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Perge". Iliwekwa mnamo 2006-10-30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- "Perge". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913. http://www.newadvent.org/cathen/11667a.htm.
- Perge Guide and Photo Album Ilihifadhiwa 4 Aprili 2017 kwenye Wayback Machine.
- Over 500 pictures including 2013 excavations
- Perge photo
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Perge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |