Nenda kwa yaliyomo

Pafo

Majiranukta: 34°46′N 32°25′E / 34.767°N 32.417°E / 34.767; 32.417
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Nguzo ya Mtume Paulo huko Pafo.

Pafo (kwa Kigiriki cha zamani: Πάφος [ˈpafos]; kwa Kituruki: Baf) ulikuwa mji mkuu wa kisiwa cha Cyprus wakati wa Dola la Roma. Kwa sasa ni makao makuu ya wilaya ya Pafo.

Pafo ilifikiwa na wamisionari Mtume Paulo na Barnaba mwaka 45 hivi (Mdo 13:4-12). Katika nafasi hiyo, liwali Sergius Paulus aliongokea Ukristo.

Mji huo umeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia.


Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • Municipality of Paphos – official website
  • Official Cyprus Government Web Site – Towns and Population Ilihifadhiwa 1 Desemba 2005 kwenye Wayback Machine.
  • Visit Paphos – Paphos regional board of tourism
  • Panoramic views of Paphos
  • Ancient Cyprus in the Ashmolean Museum Ilihifadhiwa 27 Mei 2012 kwenye Wayback Machine.
  • Paphos Travel directions
  • The University of Sydney Archaeological excavations of the Paphos Theatre Site Ilihifadhiwa 6 Agosti 2020 kwenye Wayback Machine.
  •  "Paphos" . Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
  • Paphos Chamber of Commerce and Industry website
  • Paphos Life Blog Lifestyle Blog for expats and locals
  • About Paphos

34°46′N 32°25′E / 34.767°N 32.417°E / 34.767; 32.417

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.