Kos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maghofu ya ukumbi wa michezo.
Magofu ya Asclepeion

Kos (kwa Kigiriki: Κως, Kos) ni kisiwa cha Ugiriki kilichopo kusini mwa Bahari ya Aegean.

Kina wakazi 33,387 (2011) wanaotegemea zaidi utalii.

Kinatajwa na Biblia ya Kikristo (Matendo ya Mitume) kwa kuwa mwaka 58 Mtume Paulo, katika safari yake ya tatu ya kimisionari, alipitia huko.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.