Bahari ya Aegean

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Bahari ya Aegean.

Bahari ya Aegean (pia: Aegeis; tamka a-e-ge-is) ni moja kati ya sehemu za Bahari ya Mediteranea. Ipo kati ya Ugiriki na Anatolia. Kupitia mlangobahari wa Dardaneli imeungana na Bahari ya Marmara, Bosporus na Bahari Nyeusi.

Jina[hariri | hariri chanzo]

Watu wengi wa kale walikuwa wakifikiria tofauti kuhusu jina hili kwanini wameiita Aegean. Labda litolewa baada ya mji wa Aegae, au Aegea, ambaye ni malkia wa Amazoni aliyekufa katika bahari hiyo. Labda lilitolewa baada ya Aegeus, baba wa Theseus mshujaa wa Ugiriki ya Kale. Hadithi za kale zinasema kwamba Aegeus alijiua mwenyewe pale alipofiria kuwa mtoto wake wa kiume amekufa katika bahari hiyo.

Jina la bahari hii kwa Kigiriki wanaita Αἰγαῖον Πέλαγος (Aigaion Pelagos, Kigiriki cha sasa: Αιγαίο Πέλαγος (Aigaio Pelagos). Kwa jina la Kituruki ni Ege Denizi. Kuna baadhi ya watu wanasema kwamba jina hili linatoka chimbuko la lugha ndogondogo (neno) αἶγες (aiges) au "mawimbi" .

Historia[hariri | hariri chanzo]

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Aegean kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.