Bahari ya Malkia Viktoria
Mandhari
Bahari ya Malkia Viktoria ni bahari ya pembeni ya Bahari Aktiki, kati ya visiwa vya Svalbard (Norwei) na vya Franz Joseph (Urusi).
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Malkia Viktoria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |