Bahari Nyeupe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ramani ya Bahari Nyeupe (ing. White Sea)
Picha za Bahari Nyeupe jinsi inavyoonekana kutoka angani

Bahari Nyeupe ni bahari ya pembeni ya Bahari Aktiki upande wa kaskazini ya Urusi ya kiulaya ikipakana na mikoa ya Murmansk Oblast, Karelia na Arhangelsk Oblast. Inazungukwa na nchi kavu pande tatu hivo ni kama ghuba kubwa la Bahari ya Barents. Eneo lake ni 90,800 km².

Bandari muhimu ni Arkhangelsk. Kupitia mito na mifereji kuna njia za maji hadi Bahari Baltiki na Bahari Nyeusi.

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Bahari Nyeupe" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.