Nenda kwa yaliyomo

Bahari ya Sibuyan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bahari ya Sibuyan kati ya Borneo na Ufilipino.

Bahari ya Sibuyan ni bahari ya pembeni ya Pasifiki, katika eneo la Ufilipino, kati ya Luzon na funguvisiwa la Visaya.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Sibuyan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.