Bahari ya Chukchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bahari ya Chukchi

Bahari ya Chukchi ni bahari ya pembeni ya Bahari ya Aktiki, kaskazini kwa Urusi na Alaska. Eneo lake ni км² 589.600.

Makala hii kuhusu "Bahari ya Chukchi" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.