Bahari ya Bering

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bahari ya Bering

Bahari ya Bering ni bahari ya kando ya Pasifiki iliyopo kusini kwa Urusi na Alaska. Eneo lake ni km² 2.315.000.

Mlango wa Bering uko kaskazini kwake.

Upande wa kusini safu ya visiwa vya Aleuti ni mpaka kati ya Bahari ya Bering na Pasifiki.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Bering kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.