Bahari ya Mashariki ya China
Mandhari
(Elekezwa kutoka Bahari ya China Mashariki)
Bahari ya Mashariki ya China (ing. East China Sea) ni bahari ya pembeni iliyopo kando ya mashariki mwa nchi ya China, pamoja na Bahari ya Njano na Bahari ya Kusini ya China.[1] [2]
Bahari hiyo ni sehemu ya Bahari Pasifiki na ina eneo la kilomita za mraba zipatazo 1,249,000. Nchini China, bahari hii inaitwa Bahari ya Mashariki.
Nchini Korea Kusini, bahari hii kuna kipindi huitwa Bahari ya Kusini, lakini hii mara nyingi hutumiwa kutajia eneo la karibu na pwani ya kusini mwa nchi ya Korea Kusini.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Pinxian Wang, Qianyu Li, Chun-Feng Li, Geology of the China Seas (2014), p. 667.
- ↑ "The four seas of China, the Bohai Sea, the Huanghai Sea, the East China Sea, and the South China Sea, occupy a total area of about 4.7 million km2, half of the area of China mainland. These seas are located in the southeastern margin of the Eurasian continent and subject to the interactions between the Eurasian, Pacific, and Indian-Australian plates. The seas have complicated geology and rich natural resources". Zhou Di, Yuan-Bo Liang, Chʻeng-kʻuei Tseng, Oceanology of China Seas (1994), Volume 2, p. 345.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Gas and oil rivalry in the East China Sea Archived 2009-07-18 at the Portuguese Web Archive Asia Times Online. 27 Julai 2004.
- Chinese submarine enters Japanese waters. Wikinews. 18 Novemba 2004. Retrieved 7 Machi 2006.
- Oil and gas in troubled waters The Economist. 6 Oktoba 2005.
- J Sean Curtin. Stakes rise in Japan, China gas dispute Ilihifadhiwa 7 Novemba 2009 kwenye Wayback Machine. Asia Times Online. 19 Oktoba 2005.
- Chinese Suyan Rock community Ilihifadhiwa 10 Aprili 2021 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Mashariki ya China kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |