Ghuba ya Botnia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Bahari ya Baltiki, ikionyesha ghuba ya Botnia upande wa juu.
Picha ya Fennoscandia kutoka satelaiti katika majira ya baridi. Sehemu ya kaskazini ya ghuba ya Botnia imefunikwa na barafu.

Ghuba ya Botnia (pia: Bothnian Sea, Pohjanlahti au Bottniska viken) ni tawi la kaskazini kabisa la Bahari ya Baltiki.

Iko kati ya Ufini na Uswidi. Kusini mwake mna funguvisiwa la Aland.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ghuba ya Botnia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.