Nenda kwa yaliyomo

Bahari ya Pechora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bahari ya Pechora ni bahari ya pembeni ya Bahari Aktiki, katika eneo la Urusi upande wa Ulaya.

    Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
    Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Pechora kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
    Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.