Bahari ya Bohol
Mandhari

Bahari ya Bohol (pia: Bahari ya Mindanao) ni bahari ya pembeni ya Pasifiki, katika eneo la Ufilipino, kati ya funguvisiwa la Visaya na lile la Mindanao.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Bohol kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |