Anatolia
Mandhari

Anatolia (kwa Kituruki: Anadolu) ni rasi kubwa katika Asia ya Magharibi kati ya Bahari ya Mediteranea na Bahari Nyeusi. Eneo lake ni sehemu kubwa ya Uturuki upande wa Asia.
Jina la kale ni "Asia Ndogo" ("Asia Minor" kwa Kilatini).
Katika historia mataifa mengi yaliishi Anatolia au kuingia humo na kujenga madola yao kama vile Wahiti, Wagiriki, Waajemi, Waarmenia, Waroma, Wagothi, Wabizanti na Waturuki.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Anatolia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |