Zama za Shaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Moja ya silaha za kawaida ya shaba wakati wa Zama za Shaba
Zama za Shaba - Muséum de Toulouse

Zama za Shaba kilikuwa kipindi ambacho watu walitengeneza vifaa vyao kwa kutumia metali na kuuita shaba. Shaba ni mchanganyiko wa metali engine mbili: vipande tisa vya shaba kwa kipande kimoja cha bati. Malighafi kama mbao na mawe yalikuwa pia yakitumika kwa zana, lakini shaba ilikuwa nzuri zaidi kwa kukatia na kuchongea, na ilikuwa rahisi sana kutengeneza umbo la kitu. Zama hizi za Shaba hazikuwa kwa kipindi kimoja kila mahali, kwa sababu makundi tofauti ya watu walianza kutumia shaba kwa kipindi tofauti kabisa. Kwa upande wa Magharibi mwa Ulaya, Zama za Shaba ziliisha kunako miaka ya 2000 KK hadi 800 KK. Kwa upande wa Mashariki ya Kati, ilianza takriban miaka elfu moja nyuma.they were too soft.

Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zama za Shaba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.