Nenda kwa yaliyomo

Aikardi wa Jumieges

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Magofu ya abasia ya Jumieges.

Aikardi wa Jumieges (pia: Aichardus, Achard, Achart, Aicard, Aichard; Poitiers, 624 15 Septemba 687 hivi) tangu ujanani alikuwa mmonaki akaongoza kwa miaka 30 jumuia aliyoianzisha. Mwaka 684 aliachiwa na Filibati wa Tournus monasteri yake iliyofuata kanuni ya Mt. Kolumbani, akaiongoza kama abati hadi kifo chake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka siku ya kifo chake[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Butler, Alban (1833), The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints: In Two Volumes, Coyne
  • Donnelly, Eleanor Cecilia (1910), Short Lives of the Saints, Benziger, iliwekwa mnamo 10 Agosti 2021{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • "Saint Aichardus", CatholicSaints.info, Septemba 14, 2010{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • "St. Aichardus - Saints & Angels", Catholic Online
  • St. Augustine's Abbey, Ramsgate (1921), The Book of saints : a dictionary of servants of God canonized by the Catholic Church, London: A. & C. Black, ltd., iliwekwa mnamo 2021-07-26
  • "Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome", orthodoxengland.org.uk, iliwekwa mnamo 2022-12-01
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.