Marta wa Antiokia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marta wa Antiokia (Antiokia, leo nchini Uturuki, mwanzoni mwa karne ya 6 - Antiokia, 551) alikuwa mama wa Simeoni wa Mnarani Kijana[1], mkaapweke aliyepata umaarufu kwa kuishi miaka 68 juu ya minara mbalimbali akianzia utotoni[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu sawa na mwanae.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Julai [3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/93031
  2. It is Simeon himself who in his letter to Thomas states that he was living upon a pillar when he lost his first teeth.
  3. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.