Serapioni wa Antiokia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Serapioni wa Antiokia katika kanisa la Mt. Antoni Abati (Valencia, Hispania)

Serapioni wa Antiokia alikuwa Patriarki wa mji huo wa Siria (leo nchini Uturuki) (191211).

Anajulikana hasa kutokana na maandishi yake bora kuhusu teolojia yaliyoripotiwa na Eusebi wa Kaisarea.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Oktoba.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]