Nenda kwa yaliyomo

Godfredi wa Amiens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Godfredi alivyochorwa.

Godfredi wa Amiens, O.S.B. (pia Godfrey, Godefroy, Geoffroy; Soissons, 1066 - Soissons, 8 Novemba 1115) alikuwa askofu wa Amiens, leo nchini Ufaransa[1].

Kabla yake kwa miaka mitano alikuwa mmonaki na abati. Baadaye aliteseka sana katika kupatanisha watawala na wananchi wa mji huo na katika kurekebisha maadili ya wakleri na waumini kwa jumla [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Novemba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. The oldest catalogue of Amiens's bishops exists in a late twelfth-century collection of the works of Robert of Torigny (J.S. Ott, "Urban space, memory, and episcopal authority: The bishops of Amiens in peace and conflict, 1073-1164", Viator 31.3, 2000).
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/76750
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 394-395
  • Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 348-349

Marejeo ya lugha nyingine

[hariri | hariri chanzo]
  • (Kifaransa) Essai sur Saint Geoffroy, évêque d'Amiens - Guérard - 1843
  • (Kifaransa) Histoire de la ville d'Amiens depuis les gaulois jusqu'à nos jours - R.de Hyacinthe Dusevel - 1848 - Amiens (France) - Page 259 - (Gallica)
  • (Kifaransa) Le livre des saints et des prénoms - Alain Guillermou - 1976 - Page 146
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.