Nenda kwa yaliyomo

Protasi wa Milano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Protasi wa Milano (alifariki 24 Novemba 344 hivi) alikuwa Askofu wa 8 wa mji huo, Italia Kaskazini ka miaka 15 hivi katikati ya karne ya 4[1].

Atanasi wa Aleksandria anasimulia Protasi alivyomtetea mbele ya kaisari Constans I kwa kulinda imani sahihi dhidi ya Waario (342-343) [2] na alivyoshiriki Mtaguso wa Sardica (343-344) [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Novemba[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93354
  2. Apologia ad Constantium imp., 3-4, in PG, XXV, coll. 600-601
  3. Apologia contra Arianos, 50, ibid., XXV, col. 337)
  4. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.