Sabino wa Piacenza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Sabino.

Sabino wa Piacenza (Milano, Italia Kaskazini, 330 - Piacenza, Italia Kaskazini, 11 Desemba 420) alikuwa askofu wa mji huo kwa miaka karibu hamsini akivuta umati kwa Kristo na kupinga uzushi, hasa wa Ario[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Desemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.