Kandida wa Karthago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kandida wa Karthago (20 Septemba 300 hivi), alikuwa mwanamke aliyeuawa katika mji huo (katika eneo la Tunisia ya leo) kwa sababu ya imani yake ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Maximian.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa na Wakatoliki tarehe 20 Septemba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.