Maria Du Tianshi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Maria Du Tianshi (1858 hivi - Du, 29 Juni 1900) alikuwa mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia pamoja na binti yake, Magdalena Du Fengju, aliyezikwa akiwa hai [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.