Nenda kwa yaliyomo

Magdalena Du Fengju

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Magdalena Du Fengju (Du, 1881 hivi - Du, 29 Juni 1900) alikuwa mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia pamoja na mama yake, Maria Du Tianshi. Magdalena alizikwa akiwa hai [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.