Marinus na Asteri
Mandhari
Marinus na Asteri (walifariki Kaisarea Baharini, leo nchini Israeli, 262) walikuwa Wakristo ambao walikatwa kichwa kwa sababu ya imani yao chini ya Kaizari Galienus ingawa yeye alikuwa amesimamishwa dhuluma[1] [2].
Marinus alikuwa akida ambaye aliposhtakiwa na askari mwenzake akaungama wazi imani yake mbele ya hakimu akakatwa kichwa [3]. Basi, Asteri, seneta wa Dola la Roma, alitandaza joho lake chini kupokea maiti kwa heshima; kwa ajili hiyo yeye pia akakatwa kichwa hapohapo[4][5].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Martyr Marinus the Soldier at Caesarea in Palestine", Orthodox Church in America
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/43750
- ↑ Eusebius Pamphilius, "The Martyrdom of Marinus at Caesaria", Church History, Chap. XV, CCEL
- ↑ Saint Asterius of Caesarea Patron Saint Index
- ↑ "Martyr Asterius the Senator at Caesarea, in Palestine", Orthodox Church in America
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Baronio S., Cesare (1631). Martyrologium Romanum (kwa latin). uk. 146.
{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |