Nenda kwa yaliyomo

Poponi abati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Poponi.

Poponi abati, O.S.B. (Deinze, leo nchini Ubelgiji, 977 - Marchiennes, leo nchini Ufaransa, 25 Januari 1058) alikuwa abati huko Stavelot, Ubelgiji aliyejitahidi kueneza urekebisho wa umonaki wa Kibenedikto ulioanza Cluny[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 25 Januari[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Timothy Reuter et al (2000), The New Cambridge Medieval History, ISBN|978-0-521-36447-8, page 182
  2. Uta-Renate Blumenthal (1991), The Investiture Controversy, ISBN|978-0-8122-1386-7, pages 42–3
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.