Nenda kwa yaliyomo

Dio Mtendamiujiza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dio Mtendamiujiza (kwa Kigiriki: Δίος, Dios; Antiokia, Sirya, karne ya 4Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 430 hivi) alikuwa mmonaki, halafu padri abati wa monasteri ya Waakemeti aliyoianzisha jijini Konstantinopoli walioimba Zaburi mfululizo usiku na mchana.[1]

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Julai[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.