Paulo Aureliani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Pol, Saint-Thegonnec, Brittany.

Paulo Aureliani (500 hivi - 573 hivi) alikuwa mkaapweke wa Welisi, halafu mmonaki padri, na hatimaye askofu wa kwanza wa Saint-Pol-de-Léon (Bretagne, leo nchini Ufaransa)[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Machi[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.