Yosefu Sanchez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi.

Yosefu Sanchez (jina kamili kwa Kihispania: José Sanchez Del Rio; Sahuayo, Michoacán, Mexico, 28 Machi 1913Sahuayo, 10 Februari 1928) alikuwa mtoto wa Meksiko ambaye aliteswa na kuuawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero kama alivyotamani[1][2].

Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 20 Novemba 2005 halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu mfiadini tarehe 16 Oktoba 2016.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe ya kifodini chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.