Anjibati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anjibati (pia: Angilbert, Angilberk au Engelbert; 760 hivi - 18 Februari 814) alikuwa abati wa Centula (leo nchini Ufaransa) na mshairi[1].

Aliacha majukumu yake ikulu akatawa kwa kukubaliana na mama wa watoto wake, Berta, binti Karolo Mkuu, ambaye pia alitawa [2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu; labda alitangazwa na Papa Paskali II au Papa Urban II.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Februari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Angilbert's poems were published by Ernst Dümmler in the Monumenta Germaniae Historica. For criticisms of this edition, see Ludwig Traube in Max Roediger's Schriften für germanische Philologie (1888).
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/41490
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Mengineyo[hariri | hariri chanzo]

  • A. Molinier, Les Sources de l'histoire de France.
  • G. L. Burr, "La rivoluzione carolingia e l'intervento franco in Italia", cap. XI, vol. II (L'espansione islamica e la nascita dell'Europa feudale) della Storia del Mondo Medievale, pp. 336–357.
  • Gerhard Seeliger, "Conquiste e incoronazione a imperatore di Carlomagno", cap. XII, vol. II (L'espansione islamica e la nascita dell'Europa feudale) della Storia del Mondo Medievale, pp. 358–396.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.