Spes wa Nursia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Spes wa Nursia (alizaliwa Norcia, Umbria, Italia, karne ya 5; alifariki huko 517 hivi) alikuwa abati wa monasteri aliyoianzisha mwaka 450 hivi karibu na mji huo.

Kwa miaka 40 alikuwa kipofu, akivumilia kwa namna ya ajabu ulemavu huo[1].

Habari zake zimesimuliwa na Papa Gregori I katika kitabu cha Majadiliano, sura ya 15.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Mei[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/54460
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.