Galatori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Galatori (kwa Kilatini: Galactorius; kwa Kifaransa: Galactoire; alifariki Mimizan, leo nchini Ufaransa, 507) alikuwa askofu wa Lescar aliyeuawa na Wavisigoti [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Julai[2][3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/64590
  2. Martyrologium Romanum
  3. Évêques et la Cathédrale de Lescar: Des origines à la Réforme. D.Labau. Pau, 1972, p. 31
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.