Basili wa Antiokia

From Wikipedia
Jump to navigation Jump to search

Basili wa Antiokia alikuwa Mkristo wa Siria anayeheshimiwa tangu kale na kukumbukwa kama mtakatifu mfiadini tarehe 20 Novemba.

Inaonekana aliuawa kwa ajili ya imani yake kabla ya mwaka 300.

Tazama pia[edit | edit source]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Basili wa Antiokia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.