Esuperi wa Bayeux
Mandhari
Esuperi wa Bayeux (pia: Exuperius, Exupère, Spirius, Spire, Soupir, Soupierre; karne ya 4 - 405 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo[1], leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 390 hadi kifo chake [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/65190
- ↑ Henry Wace, A Dictionary of Christian Biography, Literature, Sects and Doctrines (1880), 439.
- ↑ Martyrologium Romanum
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |