Nenda kwa yaliyomo

Materno wa Milano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Materno wa Milano katika mozaiki.

Materno wa Milano (karne ya 3 - Milano, Italia Kaskazini, karne ya 4) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 316 hadi 328 hivi [1] [2] [3]. Ndiye aliyehamishima jijini kwa heshima zote masalia ya wafiadini Waafrika Nabore na Felisi [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Julai[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Cazzani, Eugenio (1996). Vescovi e arcivescovi di Milano. Milano: Massimo. uk. 15. ISBN 88-7030-891-X.(Kiitalia)
  2. Ruggeri, Fausto (1991). I Vescovi di Milano. Milano: NED. uk. 9. ISBN 88-7023-154-2.(Kiitalia)
  3. Pasini, Cesare (1990). "Materno di Milano, santo (sec. IV)". Dizionario della Chiesa Ambrosiana. 4. Milano: NED. p. 2112–2114. ISBN 88-7023-102-X .(Kiitalia)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/45320
  5. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.