Marsiano wa Tortona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marsiano wa Tortona (alifariki karne ya 2 BK) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa Tortona (Italia Kaskazini) aliyefia imani katika dhuluma ya kaisari Adriani (117-138)[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Machi[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/47150
  2. Savio, Gli antichi vescovi d'Italia, p. 378. Id., Le origini della diocesi di Tortona, p. 88.
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.