Andoki, Tirso na Felisi
Mandhari
Andoki, Tirso na Felisi (walifariki Seaulieu, karibu na Autun, leo nchini Ufaransa, 177/178) ni Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao[1].
Inasemekana Andoki alikuwa padri na Tirso shemasi nao walitumwa na askofu Polikarpo kuinjilisha Galia[2]. Kumbe Felisi alikuwa mwenyeji.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Septemba[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Martyrologe romain jusqu'à Clément X, p. 306-307, chez Antoine Molin, 1681.
- Louis Sébastien Le Nain de Tillemont, Mémoires pour servir à l'histoire ecclésiastique des six premiers siècles, p. 38 à 41, 1701.
- Anonyme Saint Andoche, Saint Thyrse et Saint Félix, Martyrs, Fête le 24 septembre vie de saints extraite de Vies de saints illustrées, fin s XIX, notice de 4. pages, avec une gravure du saint en première page, janvier 1900.
- Joseph Carlet Notice sur l'église Saint-Andoche de Saulieu.
- Gustave Bardy, Les Actes des martyrs bourguignons et leur valeur historique, dans :Annales de Bourgogne, t. III, 1930, fascicule n°III.
- Abbé Moreau, curé de Saint-Léger-Vauban, avec la collaboration de l'abbé Personne, curé de Molinot, Vie de Saint Andoche, Thyrse et Félix, Martyrs à Saulieu, Imprimerie N-D des Anges à Autun, 1905.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |