Kleoniki na Eutropi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha takatifu ya Mt. Kleoniki.

Kleoniki na Eutropi (walifariki Amasea, Ponto, leo nchini Uturuki, mwanzoni mwa karne ya 4) walikuwa Wakristo waliofia dini yao katika dhuluma ya kaisari Maximian[1]).

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Machi[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.