Amasya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyumba za Osmani.

Amasya (Kigiriki: Ἀμάσεια, Amaseia au Αμάσεια, Amáseia) ni kata ya Mkoa wa Amasya iliyopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Inachukua eneo la km 1730, na idadi ya wakazi inapata 33,000, ambao wengine 74,000 wanaishi mjini na waliosalia wanaishi vijijini.

Kimo kutoka usawa wa bahari ni m. 411.

Amasya ipo juu ya milima kutoka juu ya pwani ya usawa wa Bahari Nyeusi, mji umejingwa katika eneo la mabonde madogo ukiwa karibu kabisa na ukingo wa Mto Yeşilırmak. Japokuwa eneo hili lipo karibu kidogo pwani ya Bahari Nyeusi hivyo kuna kipindi kuna kuwa na hali baridi mno, na pia inasemekana kuwa kuna baadhi ya mazao huko huwa yanastawi vyema. Mazao hayo ni pamoja na mitufaha, ambayo imeisabibishia mkoa wa Amasya uwe mashuhuri sana.

Mji wa Amasya, pia ni mji wa kihistoria ya kutoa matajiri, wafalme, malikia, wasanii, wanasayansi, washairi na wafikiri.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amasya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.