Anastasia wa Sirmio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha takatifu ya Anastasia Mfiadini Mkubwa, Muondoasumu (karne ya 14-15, State Hermitage Museum, Saint Petersburg, Russia).

Anastasia wa Sirmio (kwa Kigiriki: Ἁγία Ἀναστασία ἡ Φαρμακολύτρια[1]; alifariki Sirmium, leo nchini Serbia, 25 Desemba 304) alikuwa mwanamke Mkristo aliyeuawa kwa sababu ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[2].

Ndiyo maana anaheshimiwa tangu zamani na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa ama tarehe 22 Desemba ama 25 Desemba ama 26 Desemba.

Maisha na heshima baada ya kifo[hariri | hariri chanzo]

Inasemekana wazazi wake walikuwa Praetextatus na Fausta wa Sirmio na Krisogoni alikuwa mlezi wake.

Masalia yake yanatunza katika Kanisa kuu la Zadar, Kroatia.

Ni kati ya wanawake saba ambao, mbali ya Bikira Maria, wanatajwa katika Kanuni ya Kirumi ya Misa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.antiochian.org/node/17101
  2. Smith, Philip (1867). "Anastasia". In William Smith. Dictionary of Greek and Roman Biography and Mythology. 1. Boston: Little, Brown and Company. pp. 158. http://quod.lib.umich.edu/m/moa/acl3129.0001.001/173.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anastasia wa Sirmio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.