Benjamini Juliani
Mandhari
Benjamini Juliani (Jaramillo de la Fuente, Burgos, 7 Oktoba 1908 - Turon, 9 Oktoba 1934) alikuwa bradha wa Kanisa Katoliki na mlezi wa vijana katika shirika la Mabradha wa Shule za Kikristo[1].
Aliuawa kwa imani yake pamoja na wenzake 7 (Sirili Bertran, Marchano Yosefu, Viktoriano Pio, Juliani Alfredo, Augusto Andrea, Benito wa Yesu na Aniseto Adolfo[2][3]) na padri Mpasionisti Inosenti wa Imakulata wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Hispania.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 29 Aprili 1990, halafu mtakatifu tarehe 21 Novemba 1999.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/100138
- ↑ Cirilo Bertrán and 8 Companions, religious of the Institute of Brothers of the Christian Schools and Inocencio de la Inmaculada, priest of the Congregation of the Passion of Jesus Christ, martyrs (+1934, +1937)
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/91625
- ↑ Martyrologium Romanum
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |