Nenda kwa yaliyomo

Ranieri wa Pisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mchoro wa ukutani wa Cecco di Pietro

Ranieri Scacceri (pia Raineri, Raniero n.k.; 1115/11171160 hivi) alikuwa kwa miaka mingi mkaapweke katika Nchi Takatifu alipoishi kwa kupokea sadaka tu, kabla ya kurudi kwao Pisa, Italia[1], anapoheshimiwa kama msimamizi wa mji.[2]

Alitangazwa na Papa Aleksanda III kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Juni[3].

Kaburi lake mjini Pisa.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/58000
  2. André Vauchez (1993) The Laity in the Middle Ages: Religious Beliefs and Devotional Practices, Daniel E. Bornstein, ed., and Margery J. Schneider, trans. (Notre Dame: University of Notre Dame Press), 55.
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.