Nenda kwa yaliyomo

Yohane Kalibita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mosaiki ikimuonyesha Mt. Yohane Kalibita (monasteri ya Mt. Luka huko Beozia).

Yohane Kalibita (alifariki Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 450 hivi) alikuwa mmonaki mkaapweke mwenye asili ya Roma, Italia, aliyeshika ufukara mkubwa katika kibanda kibovu alipofichama hata kwa wazazi wake waliomtambua baada ya kufa tu kwa njia ya Injili ya thamani kubwa waliyokuwa wamempatia[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari.[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. www.santiebeati.it/dettaglio/90993
  2. http://www.katolsk.no/biografi/jcalybit.htm
  3. Martyrologium Romanum
  • Georg Ott: Legende von den lieben heiligen Gottes, Regensburg 1864

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.