Nenda kwa yaliyomo

Ursmari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtakatifu Ursmari akisimikwa.

Ursmari (Fontanelle, Aisne, leo nchini Ubelgiji, 27 Julai 644 hivi - Lobbes, Hainault, Ubelgiji, 18 Aprili 713 hivi) alikuwa mmisionari katika maeneo mbalimbali ya nchi yake, kwanza kama padri halafu kama askofu na abati wa Lobbes aliyeanzisha monasteri kadhaa kueneza kanuni ya Mt. Benedikto pamoja na imani ya Kikristo [1][2] [3].

Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 18 Aprili[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "saintpatrickdc.org". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-20. Iliwekwa mnamo 2021-04-09.
  2. CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: Heriger of Lobbes
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/49960
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Claude Demoulin, Aulne et son domaine, Landelies, Claude Demoulin, 1980.
  • Gustave Boulmont, Les fastes de l'abbaye d'Aulne la riche de l'ordre de Cîteaux, Gand+Namur, Vanderpoorten+Delvaux, 1907. URL consultato il 21 giugno 2013.
  • Joachim Vos, Lobbes. Son abbaye et son chapitre, Louvain, Ch.Peeters, 1865. (Tomo I, 446 pagine)
  • Joachim Vos, Lobbes. Son abbaye et son chapitre, Louvain, Ch.Peeters, 1865. (Tomo II, 611 pagine)
  • Alain Dierkens, Abbayes et chapitres entre Sambre et Meuse (VIIème – XIème siècle), Sigmaringen, Jan Thorbecke, 1985, ISBN 3-7995-7314-3.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.