Folko Scotti
Mandhari
Folko Scotti (Piacenza, 1165 hivi - Pavia, 1229) alikuwa askofu wa miji hiyo miwili ya Italia Kaskazini ambayo ilichukiana lakini yeye, kama mtu wa amani, aliyejaa ari na upendo, aliweza kuipatanisha[1][2][3].
Anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Gregori IX.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Oktoba[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90403
- ↑ "Fulk". Monks of Ramsgate. 1921. Iliwekwa mnamo 5 Desemba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ François Menant (1997). "FOLCO Scotti, santo". Dizionario Biografico degli Italiani. Iliwekwa mnamo 5 Desemba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- St. Patrick Catholic Church Archived 11 Januari 2014 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |