Belino wa Padova

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Belino akikabidhi Padova kwa Bikira Maria.

Belino wa Padova (990 hivi - 1145) anakumbukwa kama askofu wa Padova (Italia Kaskazini) wakati mgumu kuanzia mwaka 1128 hivi hadi kifodini chake[1][2][3].

Alitangazwa na Papa Eujeni IV kuwa mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Novemba.[4]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Saint Bellinus of Padua. Saints SQPN (14 August 2017). Iliwekwa mnamo 9 October 2017.
  2. Saint Bellino of Padua. Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 9 October 2017.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/79350
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.