Ermogene na Elpidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ermogene na Elpidi (walifariki Melitene, Armenia ya kale, leo nchini Uturuki) walikuwa Wakristo wa Dola la Roma waliopata kuwa wafiadini[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Aprili[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.